Liverpool imeongeza juhudi katika harakati zao za kuiwania saini ya kiungo wa RB Leipzig raia wa Uholanzi, Xavi Simons, 21, ...
SI habari nzuri kabisa kuzisikia. Una mechi muhimu, kisha unasikia timu yako itamkosa mchezaji muhimu kabisa kwenye kipute ...
REFA asiye na historia nzuri na timu za Tanzania, Alhadi Allaou Mahamat kutoka Chad, ndiye amepangwa kuchezesha mechi ya ...
MSHAMBULIAJI wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria, Victor Osimhen, 26, ambaye mara kadhaa ametajwa ana mpango wa kwenda ...
STRAIKA Erling Haaland amefichua mabosi wa Manchester City wamemhakikishia watashinda mashtaka yao 130 yanayowakabili dhidi ...
KINDA wa Arsenal, Myles Lewis-Skelly ameweka rekodi ya kucheza mechi yake ya kwanza kwenye timu ya taifa ya England na kisha ...
WANASEMA tembea uyaone. Ndiyo hivyo, polisi wa upepelezi Thailand walivaa jezi za Liverpool kwa ajili ya tukio la kumkamata ...
SIKU chache baada ya kuungana na Mashujaa FC, Kocha mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga amesema hawapi majukumu washambuliaji ...
UKIWA ndiyo msimu wake wa kwanza Ligi Kuu Bara, kiungo Emmanuel Mwanengo wa Tabora United tayari ameshatwaa tuzo ya Mchezaji ...
MCHEZO wa NBA uliofanyika Alhamisi ulivutia hisia za mashabiki wengi kutokana na kipaji cha cha mchezaji wa San Antonio Spurs, Sandro Mamukelashvili, ambaye aliandika historia mpya katika ...
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa nafanya ‘interview’ na msanii wa Bongo Fleva, Kassim Mganga. Ilikuwa ni kipindi ambacho wasanii wa Bongo walikuwa wamechachamaa kufanya kolabo na wasanii wa nje ...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeelekeza rufaa dhidi ya Kocha Liston Katabazi aliyoikata dhidi ya Shirikisho la ...