UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini unaambiwa Hashim Omary alivishwa jezi ya kipa ...
TOTTENHAM kibogoyo ya kocha Ange Postecoglou imevuna ilichopanda usiku wa jana Alhamisi wakati iliposukumwa nje ya Kombe la Ligi na hivyo kupoteza nafasi ya kunyakua taji lolote ambalo ...
KABLA ya tukio la Simba kuangusha pointi moja mbele ya Fountain Gate juzi jioni, mjadala ulikuwa kitendo cha kocha wa Yanga, Saed Ramovic kuikacha timu hiyo ndani ya muda mfupi na kuibukia ...
SAKATA la wachezaji watatu wa kigeni waliobadilisha uraia wao limechukua sura mpya baada ya wawili kati yao kuanzishwa katika kikosi cha timu ya Singida Black Stars dhidi ya Kagera Sugar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Wilaya ya Temeke, Hashim Mziray amemtangaza Mohamed Saleh Mohamed kuwa ndiye Mwenyekiti wa chama cha soka wilayani humo (TEFA) baada ya kushinda ...
Kitendo cha mwamuzi Abel William wa Arusha jana kumuonyesha kadi mbili (ya njano na nyekundu) kwa pamoja kipa wa Fountain Gate, John Noble katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika kwa sare ...