Shirikisho la Soka la Barani Afrika (CAF) limetangaza ratiba ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini ...
AZIZ anajikuta anaingia katika mkasa mwingine wa kupambana na magaidi waliomteka nyara binti wa bilionea mmoja wa Uingereza ...
KINDA wa Arsenal, Myles Lewis-Skelly ameonywa kwamba asirudie kufanya kejeli zake kwa straika wa Manchester City, Erling ...
BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji ugenini, kocha mkuu wa Pamba, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema ...
UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani ...
ACHANA na mabao mawili aliyofunga dhidi ya KMC na kumfanya afikishe matano katika Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Azam FC, ...
CHELSEA ina matumaini makubwa beki wa kati wa Crystal Palace na England, Marc Guehi, 24, atajiunga nayo katika dirisha lijalo ...
Serikali ya Kenya inatarajia kumaliza ukarabati wa Uwanja wa Moi Kasarani mwezi Aprili. Uwanja huu wenye uwezo wa kuchukua ...
Unaweza kusema rungu la FIFA limeigusa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ baada ya kutangazwa uamuzi wa kuifungia Congo ...
Baada ya kuiondoa Tottenham Hotspur katika nusu fainali ya Kombe la Carabao sasa Liverpool itavaana na Newcastle katika ...
KOCHA wa Fenerbahce, Jose Mourinho alimpiga kibao Mkalimani wake baada ya kufanya makosa katika mkutano na waandishi wa ...
TOTTENHAM kibogoyo ya kocha Ange Postecoglou imevuna ilichopanda usiku wa jana Alhamisi wakati iliposukumwa nje ya Kombe la Ligi na hivyo kupoteza nafasi ya kunyakua taji lolote ambalo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果