Nchi ya Angola, ambayo inaongoza katika upatanishi wa mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, inasema ...
Kundi la waasi wa M23 limetangaza kuutwaa Mji wa Walikale nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuvifurusha vikosi vya Jeshi la Serikali ya nchi hiyo (FARDC).
Wakaazi wa Walikale-centre wameanza kurejea hatua kwa hatua katika mji huo, ambao uko chini ya udhibiti wa waasi wa M23 tangu ...
Zelensky anasema vikwazo dhidi ya Moscow lazima visalie "hadi Urusi itakapoanza kujiondoa kutoka kwenye ardhi ya Ukraine ...
Onyo kuu la marufiko limetolewa kwa jumuiya za Kaskazini Queensland, karibu ya Lower Herbert River. Kiwango cha maji kimepita ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeridhishwa na ujenzi wa vihenge vya kuhifadhia mazao na maghala wilayani Babati, Manyara, ambavyo vinasimamiwa na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya ...
KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesimulia shuruba walizopata viongozi wa upinzani nchini Angola ikiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais, Othaman Masoud kusimama kwa saa nane bila kupokelewa wala ...