Mwananchi, imezungumza na wananchi kutoka wilaya mbalimbali ikiwamo Handeni, waliofika eneo la mapokezi kujua ipi hasa kiu yao, wanapompokea mkuu huyo wa nchi. Mbali na kiu yake ya kumwona Rais Samia ...