Kigoma. ’Vumbi sasa basi.’ Ni kauli ya matumaini kwa wananchi wa Kigoma, wakielezea adha waliyokuwa wakipitia kabla ya ujenzi wa barabara ya Kabingo- Kasulu- Manyovu. Ujenzi wa barabara ...
DR Congo kuna bati, tantalum, tungsten (3T) na coltan, pia nchi nchi hiyo ina takriban 70% ya hifadhi ya cobalt duniani, nyingi ikiwa mashariki. Vilevile taifa hilo la Afrika ya kati lina akiba kubwa ...