Lakini pia ni kijiji cha kwanza kuwa na simu za mezani na zahanati kwa juhudi za mzee Banduka," anasema Davis. Anaongeza kuwa kijiji hicho kilikuwa cha kwanza wilayani Mwanga kuwa na maji ya bomba, ...