Kesho Jumapili utapigwa mchezo mmoja na Kiluvya United iliyochapwa mabao 3-1 na Stand United, itakuwa kwenye Uwanja wa Mabatini, mkoani Pwani kujiuliza mbele ya Biashara United iliyotoka kuwafunga ...