Serikali ya Kenya inatarajia kumaliza ukarabati wa Uwanja wa Moi Kasarani mwezi Aprili. Uwanja huu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 60,000 ulianza kufanyiwa ukarabati tangu Desemba 2023.
Staa wa Brazil Neymar, jana alicheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya nchi hiyo akiwa na Santos na kuisaidia timu yake kupata sare ya bao 1-1kwenye mechi iliyopigwa katika Uwanja wa ...