Miongoni mwa habari nyingine kuu leo, mmoja wa waogeleaji wa Marekani amekiri walihadaa kuhusu kisa cha kuporwa Brazil na UN imekiri ilichangia mlipuko wa kipindupindu nchini Haiti. Chanzo cha ...
Wakazi wa Tanzania wanatarajiwa kushuhudia hali ya kupatwa kwa mwezi usiku wa leo, Ijumaa Januari 10 ... Kupatwa kwa mwezi hutokea wakati jua, dunia na mwezi zinapokua kwenye mstari mmoja.
Hii ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 33: leo Ijumaa Oktoba 4 na Jumamosi Oktoba 5, Ufaransa ni mwenyeji wa mkutano wa 19 wa kilele wa Francophonie, tukio ambalo wakuu wengi wa nchi ...
ambapo droni na mashambulizi ya anga yamesababisha watu 9 kujeruhiwa+++Israel imefanya shambulio la angani katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa leo Ijumaa wakati operesheni yake kubwa ya kijeshi ...
Amepangiwa kutoa hotuba kwenye Baraza Kuu la UN leo Ijumaa. Kwenye video hiyo, Netanyahu anasema kuwa sera ya Israel ni wazi. Anaongeza kuwa Israel inaendelea kuishambulia Hezbollah kwa nguvu zake ...
Ubalozi wa Afghanistan mjini London unafunga milango yake leo Ijumaa Septemba 27 na wafanyakazi wa kidiplomasia wameagizwa kutafuta hifadhi nchini Uingereza au kurejea Kabul. Serikali ya Uingereza ...
Toleo la leo Ijumaa la gazeti la Chama Tawala cha Wafanyakazi la Rodong Sinmun, lilichapisha ripoti juu ya ziara ya Kim kwenye Taasisi ya Silaha za Nyuklia na kituo cha uzalishaji wa nyenzo za ...
amesema wawakilishi wa Israel walikuwa na mikutano jana Alhamisi kutathmini mapendezo ya kusitisha mapigano yaliyotolewa na Washington na wataendelea tena na vikao leo Ijumaa. Tangu mapema wiki ...